Habari na Matukio
Pata habari za hivi karibuni kutoka Bodi ya Korosho.
WAKULIMA RUNALI WAUZA KOROSHO KILO 20,630,516 KWA BEI YA JUU TSH 2,610
Wakulima wa korosho kupitia Chama Kikuu cha Ushirika cha RUNALI, kinachounganisha wilaya za Ruangwa, Nachingwea...
NHIF YATOA ELIMU YA MATUMIZI YA BIMA KWA WATUMISHI CBT
Wataalam kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) septemba 10/2025, wametembelea ofisi za...
BALOZI AVETISYAN ATEMBELEA BODI YA KOROSHO, KONGANI LA VIWANDA MARANJE
Balozi wa Urusi nchini Tanzania Mhe. Andrey Avetisyan ametembelea Ofisi za Bodi ya Korosho Tanzania...
MKUTANO MKUU WA WADAU WA TASNIA YA KOROSHO WAFANYIKA JIJINI DODOMA
Waziri wa kilimo Mhe. Hussein Bashe amewataka wadau mbalimbali kuendelea kushirikiana na Bodi ya Korosho...
VIJANA NA WANAWAKE WAHIMIZWA KUJIHUSISHA UONGEZAJI THAMANI ZAO LA KOROSHO
Vijana na wanawake wa mikoa inayozalisha zao la korosho nchini, wametakiwa kujihusisha katika shughuli za...
MKURUGENZI MKUU CBT ATOA UFAFANUZI KUHUSIANA NA MCHANGO WA ZAO LA KOROSHO KATIKA KUINUA UCHUMI – MTWARA
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania ndg. Francis Alfred amesema kuwa Serikali ya Jamhuri...