SERIKALI YALETA NEEMA KWA WAKULIMA WA KOROSHO
Waziri wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo (Mb) amefanya ziara ya kikazi mkoani Mtwara tarehe 11 Desemba 2025 na...
Waziri wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo (Mb) amefanya ziara ya kikazi mkoani Mtwara tarehe 11 Desemba 2025 na...
Wanachama wa chama cha wafanyakazi wa sekta ya Kilimo na Mashamba TANZANIA PLANTATION AND AGRICULTURAL WORKERS UNION (TPAWU)...
Balozi wa Urusi nchini Tanzania Mhe. Andrey Avetisyan ametembelea Ofisi za Bodi ya Korosho Tanzania pamoja na eneo...
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania ndg. Francis Alfred amesema kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa...
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala amesema kuwa ni matumaini yake kuwa mafunzo ya Umahiri Kwenye...
Madiwani wa Halmashauri ya mji Nanyamba wameeleza kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa mradi wa Kongani la viwanda...
Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) ni chombo cha ushirika kilichoanzishwa kwa Sheria Sura ya 203 RE 2023. Imekabidhiwa jukumu la kusimamia maendeleo ya Sekta ya Korosho nchini Tanzania katika kutekeleza majukumu yake. Bodi ya Korosho inatilia mkazo zaidi katika kuboresha obora na ufanisi katika sekta ndogo ya korosho ili kukidhi matakwa ya wadau mbalimbali na hivyo kuwawezesha kuchangia katika maendeleo ya Taifa.
Huduma rasmi zinazotolewa kwa wananchi, wadau na washirika wa maendeleo.
Pata taarifa rasmi, matukio na matangazo muhimu kutoka taasisi.
Angalia miradi inayoendelea, iliyokamilika na mipango ya maendeleo ya taasisi.