KIKAO NA MTANDAO WA WAKULIMA WA KOROSHO TANZANIA
08 Jun, 2025
admin
Habari na Matukio

KIKAO NA MTANDAO WA WAKULIMA WA KOROSHO TANZANIA

Bodi ya Korosho Tanzania imefanya kikao na Mtandao wa Wakulima wa Korosho Tanzania (TCGN) Katika ofisi za Bodi ya Korosho Tanzania mkoani Mtwara. Mtandao huu ulianzishwa mwaka 2019 ukiwa na majukumu mbalimbali kama vile kuwaunganisha wakulima wa zao la Korosho kuwa na sauti moja, kuwaelimisha wakulima pia kuwa daraja kati ya wakulima na Serikali.

Lebo: