12 Jun, 2025
admin
Habari na Matukio
AFISA KILIMO CBT AKITOA ELIMU KATIKA CHOMBO CHA HABARI LINDI
Afisa Kilimo kutoka Bodi ya Korosho Tanzania ndg. Mohamed Kaid akiwa katika moja ya kituo cha redio mkoani Lindi akitoa elimu kuhusu kanzidata, usambazaji, ugawaji na matumizi sahihi ya viuatilifu katika zao la Korosho.
Elimu hii imetolewa kuanzia tarehe 01/06/2025 hadi 08/06/2025 katika vituo mbalimbali vya redio vilivyopo katika mikoa ya Mtwara, Lindi na Ruvuma.
Lebo: